Hisa zipi nzuri kati ya NMB na CRDB?

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Kati ya share za NMB na CRDB zipi ziko stable, kwa kipindi Cha miaka 60 ijayo kuanzia sasa hivi? na ipi itakuwa na uhakika wa kupata gawio Kila mwaka?
 
Share maana yake unachangia wenzako mtaji na mwisho wa siku unapata gawio dogo tofauti na ungewekeza hiyo fedha kwenye biashara yako.
 
Elimu ya Hisa ni Pana, nakushauri tafuta magroup ya what's up yanayotoa elimu ya uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…