Dit000 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 710 Reaction score 1,041 Aug 9, 2023 #1 Kati ya share za NMB na CRDB zipi ziko stable, kwa kipindi Cha miaka 60 ijayo kuanzia sasa hivi? na ipi itakuwa na uhakika wa kupata gawio Kila mwaka?
Kati ya share za NMB na CRDB zipi ziko stable, kwa kipindi Cha miaka 60 ijayo kuanzia sasa hivi? na ipi itakuwa na uhakika wa kupata gawio Kila mwaka?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Aug 9, 2023 #2 Share maana yake unachangia wenzako mtaji na mwisho wa siku unapata gawio dogo tofauti na ungewekeza hiyo fedha kwenye biashara yako.
Share maana yake unachangia wenzako mtaji na mwisho wa siku unapata gawio dogo tofauti na ungewekeza hiyo fedha kwenye biashara yako.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Aug 9, 2023 #3 NBC
I Investor 1 Senior Member Joined May 4, 2022 Posts 106 Reaction score 206 Aug 9, 2023 #4 Elimu ya Hisa ni Pana, nakushauri tafuta magroup ya what's up yanayotoa elimu ya uwekezaji.
Dit000 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 710 Reaction score 1,041 Aug 9, 2023 Thread starter #5 Investor 1 said: Elimu ya Hisa ni Pana, nakushauri tafuta magroup ya what's up yanayotoa elimu ya uwekezaji. Click to expand... Utaniunganishaa na group la WhatsApp mkuu
Investor 1 said: Elimu ya Hisa ni Pana, nakushauri tafuta magroup ya what's up yanayotoa elimu ya uwekezaji. Click to expand... Utaniunganishaa na group la WhatsApp mkuu