Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hisabati na Tarakimu
| Msamiati wa hesabu/hisabati unaangazia: majina mbalimbali ya tarakimu/nambari; kuandika tarakimu kwa herufi.maneno; tarakimu za kiarabu; akisami (fractions) na asilimia (percentages). Tumekuandalia:
Haya ni majina ya tarakimu mbalimbali zinapoandikwa kwa herufi (badala ya nambari) yenye asili ya Kiswahili/Kibantu na pia yale yenye asili ya Kiarabu. Pia, tumeongezea majina ya makumi mbalimbali (10-90)
Majina ya ya tarakimu kutoka (11-19) kwa Kiswahili na kwa Kiarabu.
Kuandika tarakimu mbalimbali katika hali ya ukumi. (11-99).
Akisami hutumiwa kuonyesha sehemu ya kitu kizima. Kwa mfano, ukigawa kilo moja kwa visehemu vinne vinavyotoshana, kila kisehemu kitakuwa na uzani wa robo kilo ( sehemu ya nne au moja kwa nne ) ya kilo.
|