luteni kanali
Member
- Aug 25, 2013
- 15
- 17
Wakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka yote ikaonyesha vizuri pande zote (japo haikudumu zaidi ya saa). Ila kwa sasa imerudi tena kuonyesha nusu upande. NB kioo hakijapasuka kabisa. Naombeni ushauri wa nini kufanyike niinusuru.