luteni kanali
Member
- Aug 25, 2013
- 15
- 17
Msaada tafadhaliWakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka yote ikaonyesha vizuri pande zote (japo haikudumu zaidi ya saa). Ila kwa sasa imerudi tena kuonyesha nusu upande. NB kioo hakijapasuka kabisa. Naombeni ushauri wa nini kufanyike niinusuru.
Model no nipe.Bado nahitaji msaada katika hili,watalamu let's gather for this. To come up with solutions
Kuanza anzia hapa: Fundi TV na vifaa vya umemeNi 43A4K nchi 43 Mad Max
Pesa haitakiwi kuchezewa tu,kisa maarifa kidogo ya kurekebisha yamekosekanaTupa tu hilo mkuu, tafuta Samsung hata ya milioni 10 tu kwakuanza sio mbaya sana.
Asante mkuu ngoja niperuzi ntaambulia kitu.Kuanza anzia hapa: Fundi TV na vifaa vya umeme
The Problem here starts with the Location of Services provider. Tv yangu ipo Mwanza yeye yuko Daslam. Asante kwa ushauri kiongoziKuanza anzia hapa: Fundi TV na vifaa vya umeme
Kioo hakina tatizo kwa uelewa wangu, maana Kuna muda ilionyesha vizuri. Nadhani the problem ipo kwenye Mainboard au ile T Con.. mikanda ipo miwil kutoka kwenye Main board nilicheck YouTube namna ya kuangalia mkanda nikatest nikagundua Haina shida. Sasa Kila fundi anaekuja naona anafanya maruwe ruwe ndo maana nikakimbiloa huku, The home of Great ThinkerMara nyingi hua naona TV ikishaanza hayo maruweruwe ni ngumu kuirekebisha hasa eneo la kioo. Vinginevyo utajikuta unatumia gharama kubwa kuliko kununua mpya.