Kwa hiyo mama alivyolinajisi bunge kwa kumchamba Ndugai namna ile ndio ameimarisha bunge?Ndugai amevuruga sana, amesababisha bunge kuwa dhaifu, sababu alikuwa Dili moja na jiwe, uchafuzi, na nchi imekosa upinzani bungeni.
Ndugai alikuwa shetani kabisa ndani ya bungeInawezekana kweli ila kilichomfukuzisha siyo hicho alichohoji bali ni maovu yake nje na ndani ya Bunge. Yaani mioyo ya wale wote ambao wameumizwa na yeye akiwepo aliyepigwa rungu kule ndani ndani Kongwa na wengineo wengi ndani na nje ya chama chake majibu ya maovu yake yamejibiwa kwa kivuli cha mikopo ya serikali na si vingine.
Hiyo hoja yake ingetolewa mtu muadilifu angeungwa mkono na asingeshambuliwa vile.
Katika sayansi ya jamii haiba ya mtu anaebeba ujumbe ni muhimu sambamba na ujumbe kwa ajili ya usikivu na uchukuliwaji.Hapo ndipo tunapoonekana wajinga!
Yani huangalii hoja ila unaangalia mtoa hoja.
Tuna safari ndefu bado
Tunaangalia ujumbe hatuangalii sura ya mtoa ujumbe..Katika sayansi ya jamii haiba ya mtu anaebeba ujumbe ni muhimu sambamba na ujumbe kwa ajili ya usikivu na uchukuliwaji.
Eg. Hoja atakayoitoa babu Tale na hoja ile ile ikatolewa na Mbowe unafikiri uzito wa hoja utakaa wapi[emoji848]
Utagawanaje mbao?Jibu hoja..
Tukigawana mbao kwa jina lolote tutakalo tumia tutarudishaje
mikopo na mali zilizoenda Zenj?
Kasaini buk saba shaka ameona kazi yako.Utagawanaje mbao?
Wakishindwa kurejesha wageuzwe mkoa tuZanzibar n nchi unapochukua mali za Tanganyika unazipeleka Zenj
tukigawana mbao watazirudisha?
Chato ni sehemu ya Tanganyika.
Sio kweli,labda km haujasomea mambo ya personality na uongozi.Tunaangalia ujumbe hatuangalii sura ya mtoa ujumbe..
Hapo ndipo waafrika ilipo kasoro yetu
Ngoja atoke mzanzibar mwenzao keleleWakishindwa kurejesha wageuzwe mkoa tu
Na Mungu akasema hivyo hivyo atake asitake.Ndugai hana uwezo wa kiakili kuweza kuhoji mambo kama hayo. Spika mwenye akili na anayejielewa asingeweza hata kuentertain yale mambo ya "Magufuli atawale milele atake asitake" kule bungeni, sembuse uwezo wa kuhoji mgawanyo wa fedha kati ya bara na Zanzibar?
Kubadili id hakusaidii..
chato ni wilaya mkoa wa geita
Jibu hoja..
Tukigawana mbao kwa jina lolote tutakalo tumia tutarudishaje
mikopo na mali zilizoenda Zenj?
Mkigawana mbao hiyo serikali ya Tz ni ipi tena..Sijawahi kubadili Jina hata siku moja
Jibu ni kuwa serikali ya Tz ndio italipa
Chawa wa Chief mkuu kazini, mtapambana sana lakini hoja ya Ndugai lazima iwatese Ile ni kerubu moja kubwa sana
Mkigawana mbao hiyo serikali ya Tz ni ipi tena..
ya Zenj au Tanganyika?
Tanganyika itarudishaje mali zake zilizoenda kujenga zenje?
Kwani amemalizana vipi na jesuYuko Galilaya kapumzika
Hii ni dhana tu.Ooh una maana ikitokea talaka
Tutahesahiana tu na tutalipana pole pole ila mimi sio mzenji
Ila ni haki yangu kuchangia Boss
Bado kesi mbichiiiiiKwani amemalizana vipi na jesu
Hivi zile za marashi ya karafuuu hatukuwahi kuzila wote huko nyuma????Ngoja atoke mzanzibar mwenzao kelele
za kugawana mbao watakavyopiga,
sasa wametulia tuli kama maji mtungini.
Hii ni dhana tu.
Kenya mbona haikulipa mali za EAC?