Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

Uamsho wapo kimya nw..
Ngoja atoke mzenji wao.
 
Zanzibar n nchi unapochukua mali za Tanganyika unazipeleka Zenj
tukigawana mbao watazirudisha?
Chato ni sehemu ya Tanganyika.
Kuna mijitu haina akili hata kidogo. Ndio maana wengi wameamua kuwa wasomaji. Hajui kilitokea nini pale jumuiya ya afrika mashariki ilipovunjika mwaka 77.

Wazanzibar wanataka kula jasho la watoto wetu. Na mijitu ya ccm inakenua meno. Pumbavu
 
Wazee wa uamsho wanasubir mama yao atoke walianzishe.
 
ndugai for president 2025. tuko na ndugai amehoji vitu vya msingi halafu malnamziba mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…