Hisia zako zilikuwaje?

Pearl ndugu yangu,nilikuamini sana kumbe huaminiki.Wasaidaka,wafaidaka,wapunduka?
Nimekukaribisha kwa heshima na taadhima kumbe unanizunguka?Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu.

Na wewe Chris:
Mashemeji wangapi baaba,mimi nimechooooooka!
tena najiuliza sanaaaaaa?wanatokea wapiiiiii?
unanipa uchunguuuu,nakuwa na wasiwasiiiiiiii!
unaniweka roho juuuu imani naweeeeeeeee imeshanitokaaaaaaaaaaa!

Bht natangulia kwenye maombi kwa mwakasege naomba unifuate maana preshaaa inapanda,presha inashuka.[/QUOTE]

afadhali umejionea mwenyewe dadaangu mpenzi
ningeonekana mie mchonganinishi kumbe aka!!!
tuendeleee tu kuomba Mungu atambadilisha
 
Fidel80: Huyu ninavyohosi ni muongeaji sana Nyuma ya Laptop, lakini mbele ya totoz Mdogo unaganda, nahisi wanafanana kisifa na Masanilo,
 
Fidel80: Huyu ninavyohosi ni muongeaji sana Nyuma ya Laptop, lakini mbele ya totoz Mdogo unaganda, nahisi wanafanana kisifa na Masanilo,

najua kwa nini umewa-group hawa watu pamoja NYU!!!!!
 
my dia wako akiwa kwako akitoka si unajua???????????
Bht hawezi kwenda na ww maana mm ni dugu yake tumbo moja,kama hakukwambia pole sana samaki

Pearl ndugu yangu,nilikuamini sana kumbe huaminiki.Wasaidaka,wafaidaka,wapunduka?
Nimekukaribisha kwa heshima na taadhima kumbe unanizunguka?Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu.

Na wewe Chris:
Mashemeji wangapi baaba,mimi nimechooooooka!
tena najiuliza sanaaaaaa?wanatokea wapiiiiii?
unanipa uchunguuuu,nakuwa na wasiwasiiiiiiii!
unaniweka roho juuuu imani naweeeeeeeee imeshanitokaaaaaaaaaaa!

Bht natangulia kwenye maombi kwa mwakasege naomba unifuate maana preshaaa inapanda,presha inashuka.[/QUOTE]
 
Hahahahaha utasikiaje siku ukiambiwa Fidel ameokoka na amekuwa mchungaji wa kondoo walio nona.
ingekuwa hili wali langu ningekujibu kuwa singeshangaa maana MUNGU anatenda miujiza bana.
 
FirstLady 1: Nahisi ni Mpole, si mtu wa Maneno Mengi, Anaongea Machache lakini Pwenti tupu, ni mtu wa mikakati, ni mama ushauri mzuri tu
 
my dia wako akiwa kwako akitoka si unajua???????????
Bht hawezi kwenda na ww maana mm ni dugu yake tumbo moja,kama hakukwambia pole sana samaki

Tatizo langu nilikuamini sana wewe na shemejio xpin.Kumbe ukicheka na Nyani utavuna mabua.Lakini mtoto huyohuyo mmoja my switidali wangu sikuachiii ng'oooooooo.Nitaanza kuweka ulinzi mkali.
bht pacha wako mmefanana sura tu lakini mioyo ni tofauti.Atakwenda tu na mimi kwenye maombi,yeye ni kipenzi cha Mungu.
 
afadhali umejionea mwenyewe dadaangu mpenzi
ningeonekana mie mchonganinishi kumbe aka!!!
tuendeleee tu kuomba Mungu atambadilisha
Wewe nakupenda sana tena nakuamini.Naomba endelea na ulinzi hivohivo na maombi usiache kwani na mimi silaha yangu kuu ni maombi,lazima abadilike mwaka huu.Na imeandikwa kwenye baibo:"......Mungu ameumba jambo jipya duniani,Mwanamke atamlinda Mwanaume......"
 
charity mpz sina sababu ya kugombana na ww kwajili ya huyo mumeo mlevi akilewa hajui alitendalo,Mungu anatupenda sote mm na ww kasoro yy,mm na Twini wangu tumefanan kila kitu mpz roho yake yangu yangu yangu!mtoto c mmoja c kakwambia nina mimba?huamini?ktk maisha usimwamini mtu nmaana hata nasfi yako ni ngumu kuiamini au nakosea?msaheme mumeo but mm ntaendelea kumzalia c tuliambiwa tukaujaze ulimwengu au?
 
He basi kama waweza kuyasoma mawazo yangu basi wewe utakuwa tabiri kama Yahaya LoL!

Hivi mkuu hiyo avatar yako haijawahi kulalamikiwa na wadau? Mimi huwa inanitisha na kuniumiza macho!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza! πŸ™‚
 
Hivi mkuu hiyo avatar yako haijawahi kulalamikiwa na wadau? Mimi huwa inanitisha na kuniumiza macho!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza! πŸ™‚

huwa nahisi ina muunguza macho.......hahaaaaa!!
 
Jesus Christ!

Thanks Oh My God!

Yesu na Maria na Yosefu!
 
huwa nahisi ina muunguza macho.......hahaaaaa!!
Mamushka mbona umesahau kale kaneno ketu samahani kama nimekukwaza?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Samahani kama nimekukwaza!
 
Hapo kwenye red ulevi wake najua siku moja utaisha kwa muujiza wa Bwana kwa hilo sina shaka,aftaloo Ninampenda hivyo alivyo kwani aliniambia toka love in first sight kuwa anamkataba na Serengeti bruwariizi.

Hapo kwenye bluu hata Chris Mungu anampenda kwani Mungu si Athumani.

Kwenye Pink mie sina kinyongo na Baba watoto wangu aliteleza tu shetani alimdanganya( nina vita na shetani).Ninampenda sana na maisha yataendelea hivyo kuanzia sasa kaa mbali naye na matumizi ya mtoto nitakuwa nakuletea mimi mwenyewe.
 
Hivi mkuu hiyo avatar yako haijawahi kulalamikiwa na wadau? Mimi huwa inanitisha na kuniumiza macho!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza! πŸ™‚

Wewe ndiye wa Kwanza kulalamika Mkuu teh teh teh teh
 
therengeti therengeti acha utundu.
mwenzio nimefungua kanisa na kun a waumini wananitegemea kama mtumishi wa bwana,
ukiongea sana utaniharibia ulaji wangu wa kilaini hapa mjini.
si unajua hamna kodi kwenye sadaka?
 
ah ah ah yuko hapa now anambembeleza mtoto
 
Sijawahi kujuta kukufahamu! Na wala sitegemei kujuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…