Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

Hahaha ...simu ilinikatili nilikuwa bado naendelea ....Bht ni-Pm bestlady

nimeshafanya hivo bestlady wangu
@shemeji wala sitoi siri hapa tuna maongezi kuhusu usimamizi wa harusi
 
nimeshafanya hivo bestlady wangu
@shemeji wala sitoi siri hapa tuna maongezi kuhusu usimamizi wa harusi

huyo shem wako Nyani Ngabu asiwe na shaka sifa zake tunazijua kama shekhe yahaya anavyojua uchaguzi 2010 utaahirishwa ...
 
Halafu nimsalimie na kumjulia hali tu...

Hivi Pretty unamwonaje?

hujaniuliza lakini nimeshindwa kuvumilia.....hahaa ndo huyo mnyange nlokuwa nakuwazia shem....trust me!!!
 
hujaniuliza lakini nimeshindwa kuvumilia.....hahaa ndo huyo mnyange nlokuwa nakuwazia shem....trust me!!!

Hahahahaaaaa...kweli unanijua shem wangu....maana kama ulikuwa kichwani mwangu na kuona ninachowaza. Ila Pretty mzuri jamani looooh
 
Hahahahaaaaa...kweli unanijua shem wangu....maana kama ulikuwa kichwani mwangu na kuona ninachowaza. Ila Pretty mzuri jamani looooh

jina lenyewe shem si unaliona lakini???
 
kwenye avatar au?

Kwani hapa si tupo kibandia bandia bana...kwani wewe unadhani kweli mimi naitwa Nyani Ngabu au Julius? Hapa tuna piga soga (at least as far as I'm concerned) tu. Sitafuti hook ups wala nini....so to answer your question..yes..... Pretty is damn pretty...on her avatar that is...
 
B bana usihamishie alcohol huku tena........tutakupeleka kwa Masanilo (rehab)
Masa kabanwa kwenye foleni tu, ana kiu ile mbaya, anatamani akifika kaunta apige moja ya bardiii, then ndo supu ya mkia.
 
Babu huyu kwa kweli hata mimi sijawezaga "kumhisi" he/she is a rare and difficult character kuidentify.


Hahahahahahaha you would like to "kumhisi" BAK hahahahahahah. (By the way BAK is a HE 🙂 How hard have you tried to do so? I like it that way i.e. to remain a "Mystery Man" hahahahahaha but those who have tried a little bit harder they know more about me and vice versa. Good luck with your curiosity ya "kumhisi' BAK 😉

Have a great Weekend JS 🙂

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=V-iWrIBaq3Y&feature=related"]YouTube- Madonna - Like A Prayer (Official Video)[/ame]
 
Back
Top Bottom