WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
WOS: Nahisi ni Mwanaharakati fulani anayefanya kazi na taasisi kama TAMWA, TGNP na kadhalika
Mzee Mwanakijiji: huyu sijui kama huwa analala, Mungu azidi kumpa Nguvu zaidi
Pape: Ni Mtu wa maskhara sana, ambaye sijawahi kumchukulia serious
Maxshimba: Huyu atakuwa Mchungaji lazima
Pearl: Wewe uanonekana mtu wa Viwanja sana, mtu wa Kupenda Miziki ya R&B
Kiranga: Anapenda kukata Nyanga zaidi
Mkuu.... hisia kama hizi sijui zinatoka wapi maana ziko mbali mno na ukweli..asante kwa kujaribu lakini.