ahsante kwa kunithibitishia kwamba huyu ndugu NI MCHOKOZI.....!
jamani eeh,naomba watu wengine kumi au zaidi wanithibitishie kuwa huyu ndugu NI MCHOKOZI,please jamani😀😀
jamani jamani wantakani ww?mm nilikua ww ni kimbaumbau kinoma,nikahisi una bichwa ka samaki(akili nyiiiiingi)
Umeshapata maana ya UCHOKOZI?ahsante kwa kunithibitishia kwamba huyu ndugu NI MCHOKOZI.....!
jamani eeh,naomba watu wengine kumi au zaidi wanithibitishie kuwa huyu ndugu NI MCHOKOZI,please jamani😀😀
Hahahahaha ok nimesahauu miwani leo.
Nataka siku moja nikupakia kwenye tuktuk lakini naomba ruhusa kwanza kwa B maana si wajua lazima unikumbatie.!!
Hehehehe haya sasa....kumbe naambiwa wewe kiportable kwenye tuktuk mnapanda na bht kama mshikaki.
hatakuruhusu kwa sababu hata fanya kitu ambacho sikipendi
mind you we do consult before deciding......
karibu kwa uthibitisho zaidi.karibu sana!nimeshapokea pi-emu saba zinazitanabaisha UCHOKOZI WA NDUGU X-PIN...siruhusiwi kuthibitisha zaidi y amara moja????
zoezi linaendelea😀Umeshapata maana ya UCHOKOZI?
Please naomba unambie.
IGNORE LIST yangu bado kujaa.
Akili kichwani: mkorofi,mtukanaji,mropokaji
Ndibalema: mpole,mtanashat,anapenda siasa huyu lkn na totozoz kiduchu
Akili kichwani: mkorofi,mtukanaji,mropokaji
Ndibalema: mpole,mtanashat,anapenda siasa huyu lkn na totozoz kiduchu
ndiyo haya haya ya kufall in love with an avatar!! shauri yenu!! miye simo. Sitaki kusema ninavyowafikiria maana naweza kujikuta napewa likizo ya mwezi mzima na kazi ngumu!
Ahahahaa!wife akikusikiaa!
Nikwelli hapa JF mara nyingi mtu humjui kabisa,hujapata kumwona na siajabu usImwone maisha YAKO YOTE, kichwani mwako unajenga umbo fulani na tabia fulani,unampachika mhusika. yaweza kuwa kweli tabia hiyo ni yake au la. Kitabia kwa kiasi fulani waweza patia.Mimi ni nimgeni sana hapa JF sipati picha ya hali ya wahusika, lakini kwa kweli baadhi ya tabia za wana JF nimezipenda sana, natamani kuwaona.Nafikiri kwenye birthday yangu nitawaalika baadhi yao.Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:
Geoff: niliisi ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Huu ni mtazamo wangu tu kuna ambao nimekutana nao ni kweli wako hivyo wengine hatujakutana nadhani wako hivyo au kuna tofauti kidogo,je na ww kuna yyte hapa JF uliekutana nae/hujakutana nae unahisi yukoje/ulihisi yukoje,je hisia zako zilikuwa kweli?
Nikwelli hapa JF mara nyingi mtu humjui kabisa,hujapata kumwona na siajabu usImwone maisha YAKO YOTE, kichwani mwako unajenga umbo fulani na tabia fulani,unampachika mhusika. yaweza kuwa kweli tabia hiyo ni yake au la. Kitabia kwa kiasi fulani waweza patia.Mimi ni nimgeni sana hapa JF sipati picha ya hali ya wahusika, lakini kwa kweli baadhi ya tabia za wana JF nimezipenda sana, natamani kuwaona.Nafikiri kwenye birthday yangu nitawaalika baadhi yao.
Safi kabisa mamushka!biggy ni mutu ya mazoezi, ze bounsa
Siku hizi umeacha kumbe?Hahahahaha hapa mkuu unafanya watu waendelee kuniogopa haswa wale wanao juwa najiexpress wkt nilisha staafu.
Hehehe! Huyu ameamka na chupa ya valuu.weee ndo kabisa nenda kanywe supu ya pweza pale pa siku zote
huyo twin ni kipotabo ile mbaya, hujasoma biggy alivoandika???
ntakanseli mtoko na ofa tuliyokuahidi weee haya.......
Hapo kwa kweli hata mimi ntaingilia kati!Hahahahaha ok nimesahauu miwani leo.