Hisia zako zilikuwaje?

Mtoa mada naomba utuwekee sifa za

MJI- Wise lady
Nyamayao-Babla
Balatanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta
Carmel ...
JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..
 
Mzeee Mwana Kijiji.......sihasa, mapendo, lugha (aaaah mie hata simuelewagi....kiraka)
ila sijawahi kumsoma akiwa na hasira........

Mtoa mada naomba utuwekee sifa za

MJI- Wise lady
Nyamayao-Babla
Balatanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta
Carmel ...
JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..

kifo cha wengi harusi.......
 
Mtoa mada naomba utuwekee sifa za

MJI- Wise lady
Nyamayao-Babla
Balatanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta
Carmel ...
JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..
huyu HAELEWEKI!
(ningekuwa invisible NINGEMPIGA BAN YA MAISHA)
 
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
MTU PEKEE NILIYEWAHI KUONANA NAYE ANA KWA ANA NI HII MASHINE, BUJIBUJI (KAMA SIKOSEI NDIYE UNAYE MUONGELEA)
KUNA THREAD MOJA YA PEARL ALIKUWA ANAOMBA MSAMAHA WATU WOTE ALIOKOSANA NAO KWENYE FORUM, KUKATOKEA KUTOELEWANA KATI YA PEARL NA AKILI KICHWANI...
NILIFURAHI KWA JINSI ALIVYOFANYA JITIHDA ZA USULUHISI.

NIKAM PM, TUKABADILISHANA NAE NAMBA ZA SIMU.
TUKAPANGA KUONANA SEHEMU JIONI YA SIKU HIYO......
NLIKUWA NAJUA NAENDA KUONAANA NA MTU MMOJA MZEE MZEE, KUTOKANA NA BUSARA ZAKE. NLICHOKITARAJIA HAKIKUWA CHENYEWE.
NLIKUTANA NA JAMAA MCHESHI SANA, NILIKUWA NATAKA KUFIKA NYUMBANI MAPEMA, NIKAJIKUTA NAINGIA NYUMBANI SAA SITA NA NUSU.
NASIKITIKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI AMEKUWA KIMYA SANA, SIJUI AMEKUMBWA NA NINI??
WACHA NIMPIGIE MUDA HUUU HUU...
NAPATA RAHA HATA NIKIONGEA NAE KWENYE SIMU.
JAMANI, KUFAHAMIANA NI KITU MUHIMU, TUFAHAMIANE. TAFADHALI.
 
huyu HAELEWEKI!
(ningekuwa invisible NINGEMPIGA BAN YA MAISHA)

karibu kundini......ila kwenye ban ya maisha sipo tayari kumkosa huyu Mzee......am sorry Goeff I dare to differ....
 
na kujuana je kaka mkuu???
 
kifo cha wengi harusi.......

Nnachojua mimi MWANAKIJIJI ni mtu wa siasa lakini sasa hivi amekuwa mtunzi wa mashahiri na riwaya za mapenzi kwa sababu amepata 'dogo dogo'.
 
karibu kundini......ila kwenye ban ya maisha sipo tayari kumkosa huyu Mzee......am sorry Goeff I dare to differ....
KUTOFAUTIANA ni muhimu mama!otherwise maisha yangekuwa magumu
 
eeeh dogodogo tena?kwani alikuwa na kubwa kubwa?
Nnachojua mimi MWANAKIJIJI ni mtu wa siasa lakini sasa hivi amekuwa mtunzi wa mashahiri na riwaya za mapenzi kwa sababu amepata 'dogo dogo'.
 
Paka jimmy: mpole mpenda dini,anaheshim maamuzi ya watu hata kama yy ataonewa
 
Nnachojua mimi MWANAKIJIJI ni mtu wa siasa lakini sasa hivi amekuwa mtunzi wa mashahiri na riwaya za mapenzi kwa sababu amepata 'dogo dogo'.
nyumba ndogoπŸ˜€πŸ˜€
 
Nnachojua mimi MWANAKIJIJI ni mtu wa siasa lakini sasa hivi amekuwa mtunzi wa mashahiri na riwaya za mapenzi kwa sababu amepata 'dogo dogo'.

Ndibalema hiyo ni taarifa mpya umetuambia.

Mwanakjj unaeza kuclear the air hapa kidogo??? Ni kweli umepata dogo dogo??? Mbona hatuambizani??? Wakati mie ndo mhasibu mkuu wa shughuli zote za humu ndani zinazohusu ndoa na mapenzi etc????
 
WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie
 
Hopefully mwisho wa siku tutakutanaga wote...
Wacha kwaresma iishe..
 
karibu kundini......ila kwenye ban ya maisha sipo tayari kumkosa huyu Mzee......am sorry Goeff I dare to differ....
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.

Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chondeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mchanga wa pwani simoooooooooo

tumewahi gombania mwanamke mimi,invisible na maxence pale jolly!maxence kwa karatee HAFAI KABISA!tulikimbia woteπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…