FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.
Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chondeπππ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Afadhalitumewahi gombania mwanamke mimi,invisible na maxence pale jolly!maxence kwa karatee HAFAI KABISA!tulikimbia woteππ
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.
Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chondeπππ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
umekosea!huyu mwanamama tunakunywa nae VALUU kila siku pale SAVANNA manzese...Lily flower: mpole,mdada,mchapakazi
Ndibalema hiyo ni taarifa mpya umetuambia.
Mwanakjj unaeza kuclear the air hapa kidogo??? Ni kweli umepata dogo dogo??? Mbona hatuambizani??? Wakati mie ndo mhasibu mkuu wa shughuli zote za humu ndani zinazohusu ndoa na mapenzi etc????
boss:mpenda vyeo,madaraka,totoz,kinywaji,mvumilive,mpole
Ntakualika wala usihofu.Nialike tafadhali
Thank you Jesus!Paka jimmy: mpole mpenda dini,anaheshim maamuzi ya watu hata kama yy ataonewa
tumsubiri Mwanakijiji atatoamajibu yote.
Jamani vipi Kuhusu BABU ATAKA KUSEMA?
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.
Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chondeπππ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
na kujuana je kaka mkuu???
Halafu ukiitwa mchokozi unakasirika wee biig brother wewe shauri yako mchokoze Maxence tuu utaona balaa lake
kujuana tena?????
O.k naruhuSU kujuana na wewe
Thank you Jesus!
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
QUOTE]
Thanks my Pearl kwa mie ni kama vile uko sawasawa kabisa niko kwenye swala zima la kilimo kwanza 2010 lakini naona mabinamu wameanza kunitafutia kazi TBL sijui itakuwaje?
Pretta:mpole,mpenda maendeleo,mvumilivu