OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Kipindi mnafurahia pesa za goli la mama basi mfurahie pia mkiombwa kuingia uwanjani,
Mtatumia busara na kuziacha kanuni kama TPLB,
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Yanga na Simba si mnazikumbuka? Kuna wabunge na wanasiasa tena waliopo madarakani,
Wote ni watiifu kwa bi mkubwa
Kiburi cha Karia si mnakiona? Anajua wazi mpango mzima ulivyo ndio maana anaiita sinema sababu anajua watake wasitake watacheza tu
Kwa sasa bongo mpira unamvuto zaidi kuliko muziki, bongo movie na komedi
Siasa ni watu na mpira hautaki siasa ila utake usitake utazitaka tu kwa sababu watu wale hawashindwi kitu
Mashabiki wenzangu wa Yanga wakati tunaishambulia TPLB kwa kuacha kanuni na kutumia busara basi siku sio nyingi tutaaibika kwa kujifanya tunazijua kanuni na kugeukia busara
Hakuna kiongozi yeyote wa timu yeyote anaweza kumbishia bi mkubwa
Nawasilisha