OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Kampeni zinaanza mwezi wa Saba,kama ebola na m pox za chadema hazitotimbaWanaweza fanya hivyo kweli, si kwa sababu wameshajua watz akili zetu ni 2 kasorobo, kampeni zinataraji kuzinduliwa mwezi wa ngapi, ligi itakuwa bado ipo ama imeisha, kama itakuwa imeisha watatafuta ujinga mwingine wa kufanya, usishangae kusikia diamond aoana ali kiba, wabongo waanze kubishana nani mume nani mke, huku FISIEM yao yanawaendea, wanauza nchi kila uchwao
Uko wrong, uzinduzi wa kampeni ni mwezi wa 8,
Mgeni rasmi atakuwq mama nitakukumbushaUko wrong, uzinduzi wa kampeni ni mwezi wa 8, ambapo timu zitakuwa pre season ama kuanza kwa msimu mpya
Uwe unafanya tathmini kwanza kabla ya kuandika mkuu