Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Wanazipiga karibia na tangazo au karibia kipindi kuisha halafu wanaikatisha, mfano nyimbo inapoanza tu ndani ya sekunde 30 tu wanaikatilia mbali.Sina uhakika wa Clouds kutopiga nyimbo za Naseeb ila nahis nmezisikia recently nyimbo zake zikipigwa
Oooh bas kama ni hvyo kuna jambo kati yao.Wanazipiga karibia na tangazo au karibia kipindi kuisha halafu wanaikatisha, mfano nyimbo inapoanza tu ndani ya sekunde 30 tu wanaikatilia mbali.
Nmeshuhuduia hilo jambo likifanywa na redio wafu sio chini ya mara moja!
Yake c nafanya remix original ndio ya fid q au ukisikia remix basi Ngoma siyo ya alie Fanya remix
Kwahiyo hata Salome sio yake
Sent using Jamii Forums mobile app