Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Wanazipiga karibia na tangazo au karibia kipindi kuisha halafu wanaikatisha, mfano nyimbo inapoanza tu ndani ya sekunde 30 tu wanaikatilia mbali.Sina uhakika wa Clouds kutopiga nyimbo za Naseeb ila nahis nmezisikia recently nyimbo zake zikipigwa
Nmeshuhuduia hilo jambo likifanywa na redio wafu sio chini ya mara moja!