Hisia zangu Naseeb na Ally mmefanya biashara nzuri kwenye hili tamasha

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,370
Reaction score
29,968
Nakumbuka Kelele za Mashabiki zilikuwa nying sana kwanin Ally hajatoa nyimbo kwa takribani mwaka mzima toka alipotoka na ule mwimbo wa Aje akatoa na Remix ambayo haikuwa nzur sana kuliko ile ya kwanza
Kipind hicho Naseeb alikuwa anatoa nyimbo kila baada ya muda mfupi Mara Mdogo mdogo mara Salome akaja akafanya na Gwiji wa Rnb Neyo na ile Marry me hakika alistahili pongezi kwa jitihada za kutanua muziki wetu wa bongo flava kwenda Wordwide
Mwaka mpya ukaanza Ally bado alikuwa yuko kimya tu zaid ya kusikika kwenye nyimbo za wasanii wenzie kama Baraka na Mr Blue japokuwa bado hakukidh hitaji la Mashabiki wake.
Ally yuko chini ya Rockstar na ni mmoja wa Director wa hyo Kampuni, Naseeb yuko WCB mmiliki na muanzilish wa hyo Lebo akiwa na wasanii wake Lavalava Mavoko Rayvanny na Harmonize nk.
Mara tukasikia Fiesta inakuja hii ilichelewa ila Hisia zangu zinasema baada ya ule mgogoro wa wale watu wawili kusuluhishwa so wakapata nguvu ya Kurudsha upya Tamasha

Sasa hapo ndipo Biashara ilipofanyika kwa hisia zangu

Naseeb akatoa diss track kwenye nyimbo ya Fresh Remix,
Ally akajibu kwa Tweeter akamuita mtu Malikia wa Nguvu na mengneyo
Naseeb akarud tena na Diss track akamuhusisha na Omari Pia
Moto ukazid kuwaka na hapo ndio Omari nae akachafua hali ya hewa
Kipind wakiwa mdomon kwa Watu Ally akaamua ku release Seduce me so nyimbo inatoka na watu tayar vichwa vimewaka moto kwa Bifu lilitongenezwa
Kesho yake Naseeb nae akatoa Zilipendwa moto ukahamia You tube kwenye kushindanisha Views ambako mwisho wa Siku Ally naweza kusema alishinda hii Vita

Kwanin hii biashara imekuwa nzur kwao wote
Ally amerud kwenye midomo ya watu na amerud kwenye Tamasha akiwa na nguvu ya nyimbo mpya so ameshinda kwa upande wake
Naseeb hawez kushirik tamasha kwasababu za mikataba ila Mavoko, Rayvany na Harmonize wako kwenye Tamasha ambapo kwa WCB ni mafanikio makubwa kibiashara so Naseeb nae ameendelea kushinda kwa upande huu.

Mwisho wa siku Team zinaendlea kupigana Mitandaon kipind wao wanaendlea Kutia pesa Mfukoni
 
Siyo wote wenye mitazamo chanya kama yako.

So far nyimbo zote 2 ni nzuri, ila mimi mtazamo wangu ni kwamba Seduce Me itachuja baada ya muda mfupi sana ukilinganisha na Zilipendwa, na baada ya miezi sita au mwaka Views zitakuwa nyingi Zilipendwa (almost 2 times za Seduce Me).

Shukran
 
Yah ni kwel nmegundua hawa watu wanatumia udhaifu wa mshabiki wao kuzid kutengeneza pesa ambayo kwa biashara sio mbaya its win win situation kwa wote wawili
 
Sure sure, sema kuna muda Diamond anakuwa excessive...!

All in all muziki na beef ni kama samaki na maji.
 
Nakumbuka Kelele za Mashabiki zilikuwa nying sana kwanin Ally hajatoa nyimbo kwa takribani mwaka mzima toka alipotoka na ule mwimbo wa Aje akatoa na Remix ambayo haikuwa nzur sana kuliko ile ya kwanza
Kipind hicho Naseeb alikuwa anatoa nyimbo kila baada ya muda mfupi Mara Mdogo mdogo mara Salome akaja akafanya na Gwiji wa Rnb Neyo na ile Marry me hakika alistahili pongezi kwa jitihada za kutanua muziki wetu wa bongo flava kwenda Wordwide
Mwaka mpya ukaanza Ally bado alikuwa yuko kimya tu zaid ya kusikika kwenye nyimbo za wasanii wenzie kama Baraka na Mr Blue japokuwa bado hakukidh hitaji la Mashabiki wake.
Ally yuko chini ya Rockstar na ni mmoja wa Director wa hyo Kampuni, Naseeb yuko WCB mmiliki na muanzilish wa hyo Lebo akiwa na wasanii wake Lavalava Mavoko Rayvanny na Harmonize nk.
Mara tukasikia Fiesta inakuja hii ilichelewa ila Hisia zangu zinasema baada ya ule mgogoro wa wale watu wawili kusuluhishwa so wakapata nguvu ya Kurudsha upya Tamasha

Sasa hapo ndipo Biashara ilipofanyika kwa hisia zangu

Naseeb akatoa diss track kwenye nyimbo ya Fresh Remix,
Ally akajibu kwa Tweeter akamuita mtu Malikia wa Nguvu na mengneyo
Naseeb akarud tena na Diss track akamuhusisha na Omari Pia
Moto ukazid kuwaka na hapo ndio Omari nae akachafua hali ya hewa
Kipind wakiwa mdomon kwa Watu Ally akaamua ku release Seduce me so nyimbo inatoka na watu tayar vichwa vimewaka moto kwa Bifu lilitongenezwa
Kesho yake Naseeb nae akatoa Zilipendwa moto ukahamia You tube kwenye kushindanisha Views ambako mwisho wa Siku Ally naweza kusema alishinda hii Vita

Kwanin hii biashara imekuwa nzur kwao wote
Ally amerud kwenye midomo ya watu na amerud kwenye Tamasha akiwa na nguvu ya nyimbo mpya so ameshinda kwa upande wake
Naseeb hawez kushirik tamasha kwasababu za mikataba ila Mavoko, Rayvany na Harmonize wako kwenye Tamasha ambapo kwa WCB ni mafanikio makubwa kibiashara so Naseeb nae ameendelea kushinda kwa upande huu.

Mwisho wa siku Team zinaendlea kupigana Mitandaon kipind wao wanaendlea Kutia pesa Mfukoni

Unadhani ndiyo sababu clouds hawapigi nyinbo za diamond..?.! Hakuna kitu km hicho
 
Sina uhakika wa Clouds kutopiga nyimbo za Naseeb ila nahis nmezisikia recently nyimbo zake zikipigwa
 
Katika kipindi cha kuelekea Fiesta mara nyingi sana huwa wanapiga nyimbo za wale watu ambao watashiriki, nadhani ni kuwatengenezea hype kwa mashabiki na ili watu wachukulie kwamba hizo ndo nyimbo zinazotrend na mwisho wa siku watu waingie viwanjani.

Naseeb ni moja ya watu amabo hawatashiriki kwa sababu ya mikataba kama Bonny ulivyosema kwenye thread.
 
Kuna muda huwa nahisi hawa jamaa hawana bifu lolote isipokuwa wanataka mkono uende kinywani

scratch my back & i'll scratch yours
 
HATA mimi nililiona Hilo mkuu it's all about business to them
 
Sasa ndonishakwambia Ngoma yanani AF unaleta ubishi kama ujaenda shule
Kafatilie remix ya wasaf ile ila original ndio ya fidq

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu ambao hamjasoma mko so inferior inapotokea mtu anachallenge points zenu, na mara zote mnakimbilia kudhani labda aliyekupinga amekudharau hivyo kujihami kwa kutumia lugha za matusi.

Back
Top Bottom