Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
Nikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
Nikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
Mimi sikupingiNikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
hawamo kwenye uchaguzi mnyika aliwafuta wagombea wote, lissu ashakula cha juu, wiki ijayo anatoka anasepa ubelgiji kusalimia watotoNikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
Si wamesema hawashiriki?Nikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
Chadema ina jali maisha ya watu wake. Haiwezi kusukumiza watu wakatekwe, wakauawe na kufungwa kwa sababu ya madaraka.Ni kweli chadema itashinda uchaguzi, hata mbingu na ardhi zinasapoti ushindi huo. Wangeshiriki tu uchaguzi bila reform, wakishinda wataleta hiyo reform
Sio hisia bali ndio uhalisiaNikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
Wewe unataka watu wazeeke vibaya tena kwa haraka sura zao ziwe za kutishia watoto, kikikikiNikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
kweli kabisa ndo mana chura kiziwi hataki uchaguzi huruNikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu