Hisia zangu zinavyo nituma CHADEMA wanashinda urais uchaguzi mkuu

Ni kweli chadema itashinda uchaguzi, hata mbingu na ardhi zinasapoti ushindi huo. Wangeshiriki tu uchaguzi bila reform, wakishinda wataleta hiyo reform
 
Nikienda mbele nikirudi nyuma, nikisimama nikikaa, nikiamka nikilala naona chadema wanashinda urais uchaguzi mkuu
hawamo kwenye uchaguzi mnyika aliwafuta wagombea wote, lissu ashakula cha juu, wiki ijayo anatoka anasepa ubelgiji kusalimia watoto
 
Ni kweli chadema itashinda uchaguzi, hata mbingu na ardhi zinasapoti ushindi huo. Wangeshiriki tu uchaguzi bila reform, wakishinda wataleta hiyo reform
Chadema ina jali maisha ya watu wake. Haiwezi kusukumiza watu wakatekwe, wakauawe na kufungwa kwa sababu ya madaraka.

Mkono wa Mungu uko na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…