Hisia zangu

Hisia zangu

True Man11

Member
Joined
Oct 14, 2022
Posts
82
Reaction score
114
Habari za humu ndani,

Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta mwenza hapa, nawashukuru mliyojitokeza lakini kutokana na sababu mbali mbali sikuweza au hatukuweza kuwa pamoja. Waliojitokeza wengi tumeshindwana tabia, muonekano na hata utayari.

Kwakweli naumia sababu hisia zangu hazijapata sehemu salama ya kuzipumzisha. Mapenzi matamu jamani, tena sana. Upate mrembo mzuri akudekee, mchekee, mtaniane, mcheze chumbani, muoge mpaka mfikie kula tunda, kuna utamu unapatikana mara 3 zaidi.

Siyo mnakutana muda wa kuvua nguo na kupiga show tu. 😄😄😄😄

Mimi bado nahitaji na natafuta, kwa sasa, nilivyompweke naomba nipate yoyote hata kama haitaji ndoa kwa sasa, tuanze ulimwengu wetu mengine yatajieleza.

Naandika ujumbe huu nikiwa na hisia sana, natamani msichana mmoja anielewe ninachomaanisha hapa jamani.

Hata hivyo nimemaliza kwa sasa, karibu PM yangu ipo wazi.
 
Back
Top Bottom