Hisia zetu zote ni tafsiri ya ubongo

Hisia zetu zote ni tafsiri ya ubongo

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Sio kweli Macho yako yanaona masikio yako yanasikia na ngozi yako inahisi pekee pasipo msaada wa Ubongo, bali ubongo unafanya kazi zote hizo.

"Unahitaji aina fulani ya uso wenye hisia, aina fulani ya kipokezi, ili kubeba habari kwenda kwenye ubongo", kama masikio, ngozi, pua, na macho.

Lakini ishara hizo - mawimbi ya mwangaza, sauti - ambazo hupokea hazina maana hadi ubongo utakapotengeneza.

"Ndio maana kuna hali kama upofu wa gamba, ambapo macho hufanya kazi vizuri, lakini kuna uharibifu katika sehemu ya ubongo ambayo ni muhimu kwa kumfanya mtu aweze kuona."

Hauoni kwa macho yako, wala husikii kwa masikio yako, wala haujihisi kwa ngozi yako: unafanya hivyo kwa kutumia ubongo wako, ambao unachanganya kile kilicho kichwani mwako na data ya hisia inayogunduliwa na viungo vyako.

Milango yote ya fahamu hufanya kazi kwa tafsiri ya ubongo ndio maana baadhi ya watu wanao pungukiwa mlango mmoja wapo wa fahamu wanaweza kuishi na wasiwe na utofauti mkubwa zaidi na mtu aliye na milango yote ya fahamu sababu ubongo utafanya kazi ya kutafsiri
 
SAWA ASANTE KWA TAARIFA CHIEF
 
True, pia inategemea na nyenzo za kupokea hizo taarifa, mfano simba nyenzo yake ya kuona (macho), yanapokea rangi kwa mtindo wa black and white tu. Kwahiyo anachoona Simba na tunachoona sisi ni vitu viwili tofauti
 
Kweli kabisa hapo ni ubongo ndio unafanya kazi ya kutafsiri
 
True, pia inategemea na nyenzo za kupokea hizo taarifa, mfano simba nyenzo yake ya kuona (macho), yanapokea rangi kwa mtindo wa black and white tu. Kwahiyo anachoona Simba na tunachoona sisi ni vitu viwili tofauti
Mkuu wewe umejuaje kama simba anaona hivyo
 
Back
Top Bottom