Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Sio kweli Macho yako yanaona masikio yako yanasikia na ngozi yako inahisi pekee pasipo msaada wa Ubongo, bali ubongo unafanya kazi zote hizo.
"Unahitaji aina fulani ya uso wenye hisia, aina fulani ya kipokezi, ili kubeba habari kwenda kwenye ubongo", kama masikio, ngozi, pua, na macho.
Lakini ishara hizo - mawimbi ya mwangaza, sauti - ambazo hupokea hazina maana hadi ubongo utakapotengeneza.
"Ndio maana kuna hali kama upofu wa gamba, ambapo macho hufanya kazi vizuri, lakini kuna uharibifu katika sehemu ya ubongo ambayo ni muhimu kwa kumfanya mtu aweze kuona."
Hauoni kwa macho yako, wala husikii kwa masikio yako, wala haujihisi kwa ngozi yako: unafanya hivyo kwa kutumia ubongo wako, ambao unachanganya kile kilicho kichwani mwako na data ya hisia inayogunduliwa na viungo vyako.
Milango yote ya fahamu hufanya kazi kwa tafsiri ya ubongo ndio maana baadhi ya watu wanao pungukiwa mlango mmoja wapo wa fahamu wanaweza kuishi na wasiwe na utofauti mkubwa zaidi na mtu aliye na milango yote ya fahamu sababu ubongo utafanya kazi ya kutafsiri