Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi ni wilaya ya butiama chief.Uko nimewah fika japo nilikua mdogo ila nachokumbuka iko Mara wilaya ya msoma vijijini kama sio ya butiama kwa ramani ya sasa.
Niko sahihi?
Kuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye.
Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo.
Pia ni mtu mwenye tabia ya kujisifia sifia, na kuniona mimi kama mtu mwenye bahati kwa kuwa naye.
Kuna kauli moja huwa anapenda kuongea, ambayo huwa inaniumiza sana, ''unajua mimi ni mzuri, inabidi ujivunie unapokuwa na mimi na unihudumie kwa wakati pale ninapohitaji matumizi.''
Nimejaribu kumvumilia kwa muda mrefu, ila bahati nzuri tunaishi mikoa tofauti; kwa hiyo mara nyingi kuonana lazima mmoja aweze kusafiri.
Baada ya kujifungua alinenepa sana, nami nikavutiwa zaidi na muonekano wake kwa sababu mimi huwa napenda warembo wenye miili mikubwa na mvuto.
Kwa upande wake ile hali haikumvutia, akaamua kutumia njia mbali mbali aweze kupungua, na kuwa na mwili mdogo ambao kwangu ulikuwa haunivutii.
Hivi karibuni alikuja kunitembelea, baada ya kuona mwili wake ulivyopungua, hisia zikapotea kabisa; ata tulivyolala sikumfanya chochote, kwa sababu amekua ni wabaridi joto hakuna tena.
Nikamuuliza kwa nini unajipunguza, akasema anataka asizeeke mapema na anataka aendelee kuonekana binti.
Nikamshauri aurudishe ule mwili wake ili hisia pia ziweze kurudi, kwa sababu kwa sasa gari imegoma kuwaka.
Ingawa hakupendezwa na kilichotokea, lakini ndio hivyo hakuna namna.
๐น๐น๐น mfyuuu thubutuuu.!!Unajua yule rafiki yako analea vitoto vyangu ๐ ๐
Makini Familia, Wape Hi ukipatembelea.Sasa hivi ni wilaya ya butiama chief.
Ndio kaka angu wacha niharibu tu๐๐๐Hiyo ya kuniita kaka, tayari umeshaharibu ๐
Mimi naomba unisaidie kumuuliza njia aliyotumia na kufanikiwa kupungua unene natamani sana nifanikiwe kupunguaKuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye.
Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo.
Pia ni mtu mwenye tabia ya kujisifia sifia, na kuniona mimi kama mtu mwenye bahati kwa kuwa naye.
Kuna kauli moja huwa anapenda kuongea, ambayo huwa inaniumiza sana, ''unajua mimi ni mzuri, inabidi ujivunie unapokuwa na mimi na unihudumie kwa wakati pale ninapohitaji matumizi.''
Nimejaribu kumvumilia kwa muda mrefu, ila bahati nzuri tunaishi mikoa tofauti; kwa hiyo mara nyingi kuonana lazima mmoja aweze kusafiri.
Baada ya kujifungua alinenepa sana, nami nikavutiwa zaidi na muonekano wake kwa sababu mimi huwa napenda warembo wenye miili mikubwa na mvuto.
Kwa upande wake ile hali haikumvutia, akaamua kutumia njia mbali mbali aweze kupungua, na kuwa na mwili mdogo ambao kwangu ulikuwa haunivutii.
Hivi karibuni alikuja kunitembelea, baada ya kuona mwili wake ulivyopungua, hisia zikapotea kabisa; ata tulivyolala sikumfanya chochote, kwa sababu amekua ni wabaridi joto hakuna tena.
Nikamuuliza kwa nini unajipunguza, akasema anataka asizeeke mapema na anataka aendelee kuonekana binti.
Nikamshauri aurudishe ule mwili wake ili hisia pia ziweze kurudi, kwa sababu kwa sasa gari imegoma kuwaka.
Ingawa hakupendezwa na kilichotokea, lakini ndio hivyo hakuna namna.
๐๐ sawa dada angu, ila jifunze kuchezaNdio kaka angu wacha niharibu tu๐๐๐

Anakula vitu ambavyo si vya kushibaMimi naomba unisaidie kumuuliza njia aliyotumia na kufanikiwa kupungua unene natamani sana nifanikiwe kupungua
๐๐๐๐๐๐Aieseh haya sawa๐๐ sawa dada angu, ila jifunze kucheza![]()
Mbona kama ni vitu vya kwaida sana,hivi unajua jinsi mwanamke mwembmba alivyo msweet,we jamaa unapenda mipaja yenye mijasho,hebu kampime Virus kama unahofu nae.Kuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye.
Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo.
Pia ni mtu mwenye tabia ya kujisifia sifia, na kuniona mimi kama mtu mwenye bahati kwa kuwa naye.
Kuna kauli moja huwa anapenda kuongea, ambayo huwa inaniumiza sana, ''unajua mimi ni mzuri, inabidi ujivunie unapokuwa na mimi na unihudumie kwa wakati pale ninapohitaji matumizi.''
Nimejaribu kumvumilia kwa muda mrefu, ila bahati nzuri tunaishi mikoa tofauti; kwa hiyo mara nyingi kuonana lazima mmoja aweze kusafiri.
Baada ya kujifungua alinenepa sana, nami nikavutiwa zaidi na muonekano wake kwa sababu mimi huwa napenda warembo wenye miili mikubwa na mvuto.
Kwa upande wake ile hali haikumvutia, akaamua kutumia njia mbali mbali aweze kupungua, na kuwa na mwili mdogo ambao kwangu ulikuwa haunivutii.
Hivi karibuni alikuja kunitembelea, baada ya kuona mwili wake ulivyopungua, hisia zikapotea kabisa; ata tulivyolala sikumfanya chochote, kwa sababu amekua ni wabaridi joto hakuna tena.
Nikamuuliza kwa nini unajipunguza, akasema anataka asizeeke mapema na anataka aendelee kuonekana binti.
Nikamshauri aurudishe ule mwili wake ili hisia pia ziweze kurudi, kwa sababu kwa sasa gari imegoma kuwaka.
Ingawa hakupendezwa na kilichotokea, lakini ndio hivyo hakuna namna.
The king with hipsKwa kifupi ulimpendea tako sio sura na sasa tako haliko upendo nao haupo ..mpeleke kwa king of squirt kama bado yuko
Tukibaki njia kuu nyie mtakosa wapenziHuyo ni mke ama mchepuko? Baki njia kuu mkuu