Hisia zimepotea kwa mpenzi wangu baada ya kujipunguza mwili ili awe mrembo zaidi


Au unamuongelea ndugu Wema Sepetu ?
 
Mimi naomba unisaidie kumuuliza njia aliyotumia na kufanikiwa kupungua unene natamani sana nifanikiwe kupungua
 
Mbona kama ni vitu vya kwaida sana,hivi unajua jinsi mwanamke mwembmba alivyo msweet,we jamaa unapenda mipaja yenye mijasho,hebu kampime Virus kama unahofu nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…