Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
Enda umwambie kuwa akikuambia maneno ya hivo anasababisha unalowana ~ kama ni mwelewa atakuelewa
 
Inategemea na response yako
Kama nikikwambia I miss you we unanijibu "Nashukuru" au "thanks"
Kwa watu wenye hulka kama yangu nakupotezea hata kama nlitaka kukutongoza nabadili mada na sitarudia tena kukwambia maneno mazuri

Sasa nikilègeza si ataniona weak na response hivyo ili aone sio cheap kunipata but wakati mwinginee najibu ipasavyo
 
Sasa nikilègeza si ataniona weak na response hivyo ili aone sio cheap kunipata but wakati mwinginee najibu ipasavyo
Hapo ndo unafeli na mimi nakaza ili usinione msumbufu au ni dhaifu kwako
 
Hii kwa mhindi tunaita both team to Score yani ,GG
 
Bado pambana badonkama 15nndio utakutana na wako wa peke yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah hebu kwanza mshangazi anaanzia miaka ngapii
Mshangazi kuanzia 42 ila kama upo chini ya 42 ila una Tako kubwa,, Titi ka muimba tarabu,, guu la bia alafu jeupeeeee wewe ni mshangazi ila unakua upo low stage dear
 
Mshangazi kuanzia 42 ila kama upo chini ya 42 ila una Tako kubwa,, Titi ka muimba tarabu,, guu la bia alafu jeupeeeee wewe ni mshangazi ila unakua upo low stage dear

Bado miaka mingi sanaa kufika huko daah mbali sana huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…