Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

hapa!! hakuna mwanamke,
"drAma_@_work''
*anyway
fanya unachotaka, penda unachofanya. ongea na roho yako.
 
Ndo hali halisi nakuomba namba na sikutongozi conversation ndo inaamua nikiona hauko interested na mimi nakupotezea nikiona unaelekea elekea ndo naanza kukuchokoza taratibu ila ni baada ya muda maana tunajua ni wanawake wachache wanaoweza kutongoza wanaume.

Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
 
Ukiwa na hela na cheo wanawake wanachanganyikiwa kwa kweli kama una mapenzi ya kweli wabeba taka huwaoni mtaani sema umependa pesa tu mambo ya black sijui boss ni mbwembwe tu .
 
Hata wewe una type ya wanawake unao wataka haichukui nafasi ya daktari kukushauri uwaache hao unaowataka uende kwa usiowataka

Mazingira ndio yanakukutanisha na watu
 
Wakuu kwema,,

Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…

Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni wa wafanyakazi wenginee ila na mimi namwita tu boss…

Kwa mara ya kwanza alipofika nilimpokea na kumkaribisha sikujua kama ni boss nilijua tu ni mteja and ali respond vizuri so tukapigapiga story alinivutia… alichukua namba yangu and we chart kama mnavyojua tena Hakunaga cha maana zaidi ya kuulizana shemeji hajambo na wifi mzima

Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man

Still hajanitamkia kuwa ananipenda but yuko interested kuongea na mimi akiniona ananichangamkia na utani kuwa atanitafutia mchumba wa kanda ya ziwa.. kuna zile ishara za kuonesha kuwa huyu mkaka anataka kunitongoza ila anakausha ninaziona…. Natamani aseme hivyo labda nitafeel good

Ukweli sijui Kama nampenda ama ni upwiru wa kukaa single muda mrefu au vyote kwa pamoja…

Kijana mwenyewe naona kama ameanza kutoa attention kwangu so na mimi nimejikaza nisimshobokee… but inakuwa ngumu kwasababu tunaonana mara zote na kuna baadhi ya vitu lazima nipeleke ofisini kwake so inakuwa ngumu kwangu

Nataka ushaurii namna ya kukabiliana na hiyo hali yaani nisimfikirie kabisaa maana kunapoelekea nahisi nateseka tu

Map
Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
Hakuna shule ya MAPENZI ndio maana hata vikongwe vinaachana pambana na hali yako
 
Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
Inategemea na response yako
Kama nikikwambia I miss you we unanijibu "Nashukuru" au "thanks"
Kwa watu wenye hulka kama yangu nakupotezea hata kama nlitaka kukutongoza nabadili mada na sitarudia tena kukwambia maneno mazuri
 
Unajua sisi wanaume tunajuana.. alafu kuna mbinu zingine ili ww ufikie malengo huna budi kumfata wa kiume mwingine ili afanye drama wewe uwe subjected...

Sasa ili jambo liwe oky naomba nijue upo wapi ..?
 
Back
Top Bottom