Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Jmn niombee basi huyu awe wangu wa mwisho… natamani sana kuwa na mtu ambae anaeleweka akanipenda nikampenda tukapendana maisha yakaenda… msione watu tumekaa single miezi yote ni vile hatupendi idadi iongezeke (count body)

Wanaume mnazingua kinoma
Huyo hakupendi usije jilengesha...endelea kuomba Mungu atakupa wako atayekupenda
Mwanaume akipenda anafanya vitu willingly wala hutatumia force
 
Back
Top Bottom