Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man
Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.
Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.
Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.