Nchi za magharibi Ijumaa ikiangukia tarehe 13 huonekana kuwa ni siku ya mkosi. Historia ya siku hii huanzia pale Filipo IV wa Ufaransa alipowakamata mamia ya asksri wa Kikatoliki wa Knights of Solmon na kuwaweka ndani kabla ya kuwaua.
Siku hii ilikuwa 13/10/1307. Tangu siku hiyo tarehe hii imekuwa siku ya mkosi kwa wengi.