Hisoria ya tarehe 13 Ijumaa

Hisoria ya tarehe 13 Ijumaa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Nchi za magharibi Ijumaa ikiangukia tarehe 13 huonekana kuwa ni siku ya mkosi. Historia ya siku hii huanzia pale Filipo IV wa Ufaransa alipowakamata mamia ya asksri wa Kikatoliki wa Knights of Solmon na kuwaweka ndani kabla ya kuwaua.

Siku hii ilikuwa 13/10/1307. Tangu siku hiyo tarehe hii imekuwa siku ya mkosi kwa wengi.

1542185475882.jpeg
 
mbona mimi sina mikosi wala nuksi, yangu yananinyookea sana na nmezaliwa tarehe 13 mwezi wa 10 siku ya ijumaa
 
Namba 13 huhusishwa pia na mambo ya freemason. Majengo mengi duniani ghorofa ya 13 huwa wazi.
 
Back
Top Bottom