Hispania ya 2010 Vs Ufaransa ya 2018

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hispania iliyobeba Kombe la Dunia mwaka 2010 pale South Africa dhidi ya Ufaransa iliyobeba kombe la Dunia mwaka 2018 pale Urusi kipi kilikuwa kikosi bora zaidi? Kuanzia brand ya football, mchezaji mmoja mmoja, na upana wa kikosi, ipi ilikuwa timu bora zaidi?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hispania ya 2008 mpaka 2010 weka mbali na kila kitu..
Linganisha france na italy au kidogo germany ya brazil.
 
Spain...Kwanzia 1990-2018 timu ambazo zimewahi kutwaa kombe la dunia hakuna kikosi kizuri kama cha Spain ikifuatiwa na france ya akina Zinedine...

hapana mkuu umechemka, france ya akina Zidane walikua na kikosi cha kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…