HISTORIA: Alichofanyiwa Zelensky Ikulu ya Marekani, Muingereza, Mfaransa na Israeli walifanyiwa mwaka 1956

HISTORIA: Alichofanyiwa Zelensky Ikulu ya Marekani, Muingereza, Mfaransa na Israeli walifanyiwa mwaka 1956

“Gagarin flew into space, but didn't see any god there."

Hapa anatoa hotuba baada ya mwanasayansi wa kwanza wa kisovieti, Yuri Gargarin kufanikiwa kwenda nje ya anga za mbali. Sasa anawaambia warusi kwamba hakuna Mungu.
🤣🤣
 
Huyu Zelensky ana bahati sana hawezi kuuliwa na CIA kwa sababu itajulikana wazi wao ndio wamemla kichwa.
Isipokua kitakachofanyiaka ni kupigwa Presha Kali ili aitishe uchaguzi,na hapo ndio mwisho wake kama Rais utakua umefika.
Kwenye uchaguzi Zelensky hatoboi.
Hasa ukizingatia fitina za USA.
Alishasema kama kutakuwa na amani Yuko tayari kujiuzulu.
 
Ila USA sio nchi ya kuiamini kabisa, wanakusaidia 100% ukitegemea ni wenzako na mko upande mmoja, end of the day anataka malipo ilhali wewe ule msaada wake ulikua unautumia utakavyo ukidhani ni wa rafiki/ndgu yangu tu.
 
Kua adui na Marekani ni HATARI sana kwako lakini kua rafiki wa Marekani pia ni sawa na kusaini hati ya KIFO, muda wowote kitakukuta. By Frank Kisinger the former CEO wa CIA
 
Back
Top Bottom