Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

Meneja CoLtd

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
122
Reaction score
143
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana.

Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza shape inayotakiwa, na zoezi hilo hudumu kwa miezi 6 hadi mwaka.

Tamaduni hii ilianza kupoteza mvuto na kuachwa kabisa miaka ya 1950.

Chakujifunza ni kwamba mtoto akizaliwa anakua na kichwa laini sana hivyo usimlazelaze kwenye vitu vigumu au kumpiga kichwani, utaharibu shape ya kichwa chake au kumuua kabisa
46f1e693db9fa5c70f7b1ddb26a22841.png
6cf4ed7cdde722160061bd926f32e4cf.png
 
Mojawapo ya tamaduni ambazo mabeberu waiziita za KISHENZI na kwa hili nawaungga mkono mabeberu
 
Back
Top Bottom