Historia fupi ya kitabu cha maisha ya Abdulwahid Sykes

Historia fupi ya kitabu cha maisha ya Abdulwahid Sykes

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Kila mchapaji nikimpa publisher atakaa na kitabu kile... kitabu kizuri sana lakini m siwezi kukichap kitabu... Haya mambo uliyoandika huyu bwana matatizo."

Kuhusu madai ya kuwa na "obsession" na familia ya Sykes: "...watu wengine wanasema Mohamed una obsession... na family ya kina saambia ni kweli na shem kwa sababu mimi nakumbuka nilivyokuwa mdogo mimi na babangu tukizungumza sana wakati wa kula chakula usiku."

Kauli ya Mama Deze kuhusu nafasi ya Urais: "Mohammed nataka nikuambie kitu kimoja Mwenyezi Mungu ndio anapanga ufalme anasema nafasi ya rais Nchi hii ilikuwa nafasi ile ya chifudha Makwa.



View: https://youtu.be/_pdFNCVzRtI?si=y-88GZ6ANaK6ilMb
 
Back
Top Bottom