Historia fupi ya Mvinyo

Historia fupi ya Mvinyo

Kulwanotes

Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
22
Reaction score
55
Historia inaonyesha 'ustaraabu' wa binadamu ulianzia Mesopotamia—Iran ya leo—miaka elfu kadhaa iliyopita [yakadiriwa ni miaka 8,000 iliyopita]. Hawa ndio walianza kufuga wanyama kama mbuzi na kulima nafaka kama ngano. Lakini pia hawa ndio walianza kutengeneza pombe kutokana na nafaka. Na pombe yao ya kwanza kutengeza ilikuwa ni bia. Makundi yote ya watu walikunywa bia hiyo.

Matajiri, wao hawakutaka kuwa sawa na watu wote. Kama ujuavyo, masikini na tajiri wanachoshare ni hewa tu tuivutayo, walitaka kitu tofauti. Chenye HADHI yao. Ndipo wakaanza agiza pombe tofauti na iliyokuwa inatumiwa na watu wote.

Waliiagiza kutoka eneo tofauti. Meneo ya milimani huko Iran. Pombe hii ni Mvinyo, au wine. Hadi leo, zaidi ya miaka elfu Nane, bado fikra ni zile zile, Mvinyo ni pombe ya watu wa hadhi ya juu. Kinachouzwa sio pombe, bali ni Hadhi.

code-de-vino-v-2-143-269x403.jpg
Beer2.jpg
oldest-beer-recipe-mesopotamia-ninkasi_1.jpg
 
fanya utafiti zaidi. yasemekana pia waliogundua pombe ni wanawake.....sijui walitaka waume zao wawe wanakunywa wakilewa wao wanatoka kwenda kwa michepuko yao?
Interesting. Lakini haikuwa hivyo, mgawanyo wa majukumu ya kijamii na kifamilia, yaliweka utengenezaji pombe kama ni kazi ya nyumbani, hivyo ni wanawake ndio waliokuwa wakifanya shughuli hiyo. Kipindi hicho haikuwa biashara inayolipa. Miaka mingi baada ya kuwa ni biashara nzuri, mfumo dume ukaitawala industry hiyo na ikapenyezwa mambo ya kidini na kisiasa, wanawake wakatupwa nje ya industry hiyo. So, lengo halikuwa ni suala la kuwalaghai wanaume ili wachepuke.
 
nimesema ugunduzi...siyo shughuli
 
Kwaiyo mgunduzi alikuwa nan/ watu gani? Maana umesema matajiri waliagiza toka eneo tofauti kwa mantiki iyo inaonekana mda bia inagunduliwa mvinyo ilikuwa tayari imeisha anza kutumika au ?
 
Kwaiyo mgunduzi alikuwa nan/ watu gani? Maana umesema matajiri waliagiza toka eneo tofauti kwa mantiki iyo inaonekana mda bia inagunduliwa mvinyo ilikuwa tayari imeisha anza kutumika au ?
Sina hakika kipi kilianza kabla ya mwingine. Ila nachofahamu zote zilianzia Middle East
 
Back
Top Bottom