Kulwanotes
Member
- Nov 3, 2021
- 22
- 55
Historia inaonyesha 'ustaraabu' wa binadamu ulianzia Mesopotamia—Iran ya leo—miaka elfu kadhaa iliyopita [yakadiriwa ni miaka 8,000 iliyopita]. Hawa ndio walianza kufuga wanyama kama mbuzi na kulima nafaka kama ngano. Lakini pia hawa ndio walianza kutengeneza pombe kutokana na nafaka. Na pombe yao ya kwanza kutengeza ilikuwa ni bia. Makundi yote ya watu walikunywa bia hiyo.
Matajiri, wao hawakutaka kuwa sawa na watu wote. Kama ujuavyo, masikini na tajiri wanachoshare ni hewa tu tuivutayo, walitaka kitu tofauti. Chenye HADHI yao. Ndipo wakaanza agiza pombe tofauti na iliyokuwa inatumiwa na watu wote.
Waliiagiza kutoka eneo tofauti. Meneo ya milimani huko Iran. Pombe hii ni Mvinyo, au wine. Hadi leo, zaidi ya miaka elfu Nane, bado fikra ni zile zile, Mvinyo ni pombe ya watu wa hadhi ya juu. Kinachouzwa sio pombe, bali ni Hadhi.