Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori.

Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara kwenye mipunga na ufuta , shortly kabla sijasepa mpenzi wangu tumoe jina Jackline (X) mrembo wa Tabata Bima akajifungua mtoto wangu handsome.

Kutokana na Hali ya kujitafuta kipindi cha mpito nikamwachia laki6 nikasepa nikampa ujumbe mama naenda kutafuta hii pesa tumia akili ntajitahidi ntakupa elfu70 Kila mwezi maisha yasonge wewe na mtoto.

Wakati huo nilipambania ekari 12 za mpunga na ekari 5 za ufuta , kusema ukweli nilitimiza ahadi yangu ya Kila mwezi kwa miezi miwili tu hapo tayari ana laki 6 ile ya mwanzo.

Huyu mwanamke hakufanya chochote na Ile laki 6 hKuwekeza chochote kile, na badala yake mwezi wa 4 akiwa ana nyonyoshe akaanza kutoka na wanaume wazi wazi watu wanamuona maeneo hasa nyakati za mchana.

Kwa aina ya upendo wangu wadau Wakanicheki kwa email na kutumia picha za Jack akiwa na jamaa tofauti tofauti watatu na picha zake kisha baada ya zile picha nikafanya namna nikamtumia Jack laki 3 na pia nikamwambia acheki inbox yake ya email kuna ujumbe wake.

Ama kwa hakika nimejifunza kuwa nguzo ya mwaume ni busara, hekima na utulivu wa fikra ama ukomavu wa kuyapokea mambo.

Nilipata muda wa kurejea kwamba Jack ni mwanamke wa aina gani hasa Red flags ambazo amewahi kuzionesha nikabaki kucheka na kujilaumu mwenyewe.

Pamoja na yote nilikosa busara na hekima kwa maana nilimchukia sana baada ya kujua ananyonyesha na huku anatoka na wanaume wasio baba wa mtoto, imeendelea kuwa hivyo hadi leo nilimsusa Jack kwenye moyo wangu wote.

Na anajua hivyo namchukia sana Jack, Wanaume nawaambia usiombe mwanamke afanye ngono na wanaume wengine nyakati za kunyonyoshe mtoto anafifia analegea anachelewa hatua anapungua mwili ukiangalia picha za mtoto unaweza kuua.

Laki 6, elfu70 mara3 hakuna cha kufanya.

Mungu wa ukweli akasema nae mpunga na ufuta vilitiki na maisha yakasonga.

Nimefupisha sana kuna mengi mazito Wanawake akijiona mrembo basi ni balaa tupu.

Ni hayo tu

Tatizo mnazaa na malaya 🤣🤣 idiot
 
Ulipenda kupitiliza hilo ndio tatizo mkuu

2006 ukamuachia laki 6 aisee ni pesa ndefu hiyo.

Dogo ashakua mtu mzima sasa, vipi hali yake kiafya??
 
Back
Top Bottom