Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Zuberi Mtemvu na Bi. Titi Mohamed siku Mtemvu aliporudi TANU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flo...Yakhee, tuletee historia fupi ya Sheikh Osama na katibu wake Sheikh Dr Ayman al-Zawahiri.
Asanta.
Biti...Kama ninavyokumbuka kwenye historia alijiondoa TANU akaunda chama chake African National Congress?
Uzalendo...Alimsumbua na kumkwamisha sana Baba wa Taifa
Mdukuzi,Bibi titi nasikia alikuwa mchepuko wa mkubwa mmoja
Hazina maana kwako lakini kwa baadhi yetu tunaona zina thamani kubwa sana.Kutwa umekaa kujadili personal histories za Wanaume Wazee au wafu waumini wa dini ya Kiiislamu na siyo broad and practical issues za taifa zima la leo.
Mzee wangu hakuna kitu kinanikwaza kama kuwasakama watu waliotutangulia mbele za hakiMdukuzi,
Muhimu sana kuzingatia heshima za waliotutoka na adabu zetu wenyewe.
Siyo lazima nizione kama zina thamani ili nizisome. Huyu Mzee kaishiwa siku hizi. Hana hoja kabaki kuwasifia Wanaume wenziye wafu wa Kiislamu kama vile hao marehemu na vizee wa dini ya Kiislamu ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.Hazina maana kwako lakini kwa baadhi yetu tunaona zina thamani kubwa sana.
Wewe kama unaona hazina maana kwa nini unazisoma?
Flora...Kutwa umekaa kujadili personal histories za Wanaume Wazee au wafu waumini wa dini ya Kiiislamu na siyo broad and practical issues za taifa zima la leo.
Flor...Siyo lazima nizione kama zina thamani ili nizisome. Huyu Mzee kaishiwa siku hizi. Hana hoja kabaki kuwasifia Wanaume wenziye wafu wa Kiislamu kama vile hao marehemu na vizee wa dini ya Kiislamu ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.
Biti...Hazina maana kwako lakini kwa baadhi yetu tunaona zina thamani kubwa sana.
tosoma
Wewe kama unaona hazina maana kwa nini unazisoma?
Yakhee, tuletee historia fupi ya Sheikh Osama na katibu wake Sheikh Dr Ayman al-Zawahiri.
Asanta.