IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Simba 4-1 as vital
Al merehk 2-2 alhaly kwa matokeo haya rasmi simba anakua kinara wa kundi kwan mechi ya mwisho watakapo kutana simba na alhaly ata kama simba atafungwa atabaki kua kinara kwani akuna wa kumfikia kwa point msimamo upo ivi
Ikumbukwe simba pia anatinga robo fainali pasipo kupoteza mchezo wowote ule.
Kuna watu shirikisho iliwatoa jasho na kushika mkia wa kundi.
Aya sasa wale wanaobeza sijui watsema nini tena kuhusu ili kundi maana ilikua ni kundi bado gumu kila siku kundi bado gumu, kundi badooo gumu yote sababu simba alikua ana ongoza ongereni simba ongereni lunyasi Taifa kubwa.

- Simba p 13
- Alhaly p 8
- As vital P 4
- All merekh p 2