Historia inaandikwa Simba anamaliza Klabu Bingwa akiwa kinara

Historia inaandikwa Simba anamaliza Klabu Bingwa akiwa kinara

Ayo mambo ya zam za kale atutaki sema ni mwaka gani , 2003 simba alimtoa zamaleki ambae alikua bingwa mtetezi wa Africa
Juzi hapa 2018 simba alitinga robo final klabu bingwa akiwa na point 9
ina maana record aziwek vzur kwa yanga tu?
Mbona mnasema kachukua ubingwa Mara 27 hii inakumbukwa zingne izi azikuwekwa vizuri sio
Hatari sana!
 
Back
Top Bottom