Du Mzee wa Kwembe umenikumbusha mbali sana St XAVIERY Secondary School au Kibasila sisi tuliishi Hostel kwa hiyo Chai na mkate kweli ni Free hata ada sikumbuki km tuililipa wakati huo Mkuu wa Shule Mr Luoga na akfuatia Mr Henjewele, wakati huo ule uwanja wa Bakwata upo wazi ni Suka Guest house na First & Last ndio zinazoonekane ni uwanja wa kupaki gari za Import (IT) sikumbuki Nauli ya mwanafunzi maana DSM ilikuwa ni Ikarusenzi hizo chakula, bure, chai bure, ada haizidi sh mia tano kwa mwaka! kuna mabasi kama ambianse na mv mapenzi!
Hili jina linajirudia rudia kwenye maeneo kama Shule na Pale Muhimbili kwenye moja ya ward. wazalendo na wanahistoria ya nchi hii... Hili jina lina maana gani? Nina imani there is something behind it? Saidia please
suka ulikuwa unaenda kufanya nini mwanafunzi. Imefanyiwa ukarabati mkubwa tu kwa sasa. Ila jirani ya kibasila kulikuwa na nuru guest house bado ipo.Du Mzee wa Kwembe umenikumbusha mbali sana St XAVIERY Secondary School au Kibasila sisi tuliishi Hostel kwa hiyo Chai na mkate kweli ni Free hata ada sikumbuki km tuililipa wakati huo Mkuu wa Shule Mr Luoga na akfuatia Mr Henjewele, wakati huo ule uwanja wa Bakwata upo wazi ni Suka Guest house na First & Last ndio zinazoonekane ni uwanja wa kupaki gari za Import (IT) sikumbuki Nauli ya mwanafunzi maana DSM ilikuwa ni Ikarus
Du nawakumbuka jamaa zangu wa Musoma wa Boxing Club Julius Chacha, Majani, Musa, Haji Lupatu, Kidumbuyo, A. Chambuso, Mashinda Mtei, Mashaka Marusu du wasalimieni sana
kibasila, daah nakumbuka mbali sana mana ni shule yangu ya upili iliyonisaidia kunifanya nifike hapa nilipo, japo si mbali lakini si haba kibongo bongo nimevuta
kiasili Kibasila ni jina la Chifu Digalu Kibasila mmoja wa watu waliowapinga wajerumani waliopigana vita vya majimaji, aliwahi kumuua kiongozi wa kijerumani na yeye alipokamatwa alinyongwa
Kibasila, JUHUDI, NIDHAMU, UMOJA that was our slogan
Umenikumbusha mbali mkuu nami nilisoma kibasila miaka hiyoooooo . Duh ni siku nyingikibasila, daah nakumbuka mbali sana mana ni shule yangu ya upili iliyonisaidia kunifanya nifike hapa nilipo, japo si mbali lakini si haba kibongo bongo nimevuta
kiasili Kibasila ni jina la Chifu Digalu Kibasila mmoja wa watu waliowapinga wajerumani waliopigana vita vya majimaji, aliwahi kumuua kiongozi wa kijerumani na yeye alipokamatwa alinyongwa
Kibasila, JUHUDI, NIDHAMU, UMOJA that was our slogan
Aahh yaani kila kitu bure msosi ulikua wa nguvu ,nakumbuka tulilipa ada sh 750 lol siku hazigandi nauli ya mwanafunzi ilikua sh 1 . Tulinyanyaswa na makonda jamani.enzi hizo chakula, bure, chai bure, ada haizidi sh mia tano kwa mwaka! kuna mabasi kama ambianse na mv mapenzi!
Mkuu mbona jibu tayari keshajibiwaMtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
Mtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
Mbona hata wewe hujajibu mada??????
Hahahahahahahaha kuletwa na gari la mkaa hakuzuiii kujua history ya mahala flani. Mbona wengi hatujafika ng'ambo lkn historia ya USA watu kadhaa wanaijua .Sijui sadamu au sijui nani yule n.kMie simfahamu huyo Kibasila, kwanza mie mgeni Dar híi, nimeletwa juzi tu hapa na gari la mkaa. Ndo maana unaona nimepiga kimya.
Mie simfahamu huyo Kibasila, kwanza mie mgeni Dar híi, nimeletwa juzi tu hapa na gari la mkaa. Ndo maana unaona nimepiga kimya.
Hahahahahahahaha kuletwa na gari la mkaa hakuzuiii kujua history ya mahala flani. Mbona wengi hatujafika ng'ambo lkn historia ya USA watu kadhaa wanaijua .Sijui sadamu au sijui nani yule n.k
Teeeh! Unanichekesha kweli!!!