Historia: Kibasila ni nani au nini?

Historia: Kibasila ni nani au nini?

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
790
Hili jina linajirudia rudia kwenye maeneo kama Shule na Pale Muhimbili kwenye moja ya ward. wazalendo na wanahistoria ya nchi hii... Hili jina lina maana gani? Nina imani there is something behind it? Saidia please
 
kibasila, daah nakumbuka mbali sana mana ni shule yangu ya upili iliyonisaidia kunifanya nifike hapa nilipo, japo si mbali lakini si haba kibongo bongo nimevuta

kiasili Kibasila ni jina la Chifu Digalu Kibasila mmoja wa watu waliowapinga wajerumani waliopigana vita vya majimaji, aliwahi kumuua kiongozi wa kijerumani na yeye alipokamatwa alinyongwa

Kibasila, JUHUDI, NIDHAMU, UMOJA that was our slogan
 
da, umenikumbusha mbali sana. mimi ni miongoni mwa matunda ya kibasila sec kabla ya kuhitimisha tambaza. nawakumbuka kina mama mniga, mwl sangawe, wanafunzi kama kina bure, mariam, salvatory edward, william, emma kinyamagoha na wengine wengi. ngoja nirejee ktk albamu yangu nitazame hizo picha!
 
enzi hizo chakula, bure, chai bure, ada haizidi sh mia tano kwa mwaka! kuna mabasi kama ambianse na mv mapenzi!
Du Mzee wa Kwembe umenikumbusha mbali sana St XAVIERY Secondary School au Kibasila sisi tuliishi Hostel kwa hiyo Chai na mkate kweli ni Free hata ada sikumbuki km tuililipa wakati huo Mkuu wa Shule Mr Luoga na akfuatia Mr Henjewele, wakati huo ule uwanja wa Bakwata upo wazi ni Suka Guest house na First & Last ndio zinazoonekane ni uwanja wa kupaki gari za Import (IT) sikumbuki Nauli ya mwanafunzi maana DSM ilikuwa ni Ikarus
Du nawakumbuka jamaa zangu wa Musoma wa Boxing Club Julius Chacha, Majani, Musa, Haji Lupatu, Kidumbuyo, A. Chambuso, Mashinda Mtei, Mashaka Marusu du wasalimieni sana
 
Hili jina linajirudia rudia kwenye maeneo kama Shule na Pale Muhimbili kwenye moja ya ward. wazalendo na wanahistoria ya nchi hii... Hili jina lina maana gani? Nina imani there is something behind it? Saidia please

Dr. Kibasila huyu ni daktari wa kwanza toka Tanganyika kwenda kusoma taaluma hiyo ktk chuo cha Makerere nchini Uganda kama sikosei ni mwaka 1958 kwa hiyo ile ward ya Kibasila imepewa jina hilo kwa heshima yake. Anayejua zaidi atatujuza.
 
Du Mzee wa Kwembe umenikumbusha mbali sana St XAVIERY Secondary School au Kibasila sisi tuliishi Hostel kwa hiyo Chai na mkate kweli ni Free hata ada sikumbuki km tuililipa wakati huo Mkuu wa Shule Mr Luoga na akfuatia Mr Henjewele, wakati huo ule uwanja wa Bakwata upo wazi ni Suka Guest house na First & Last ndio zinazoonekane ni uwanja wa kupaki gari za Import (IT) sikumbuki Nauli ya mwanafunzi maana DSM ilikuwa ni Ikarus
Du nawakumbuka jamaa zangu wa Musoma wa Boxing Club Julius Chacha, Majani, Musa, Haji Lupatu, Kidumbuyo, A. Chambuso, Mashinda Mtei, Mashaka Marusu du wasalimieni sana
suka ulikuwa unaenda kufanya nini mwanafunzi. Imefanyiwa ukarabati mkubwa tu kwa sasa. Ila jirani ya kibasila kulikuwa na nuru guest house bado ipo.
 
kibasila, daah nakumbuka mbali sana mana ni shule yangu ya upili iliyonisaidia kunifanya nifike hapa nilipo, japo si mbali lakini si haba kibongo bongo nimevuta

kiasili Kibasila ni jina la Chifu Digalu Kibasila mmoja wa watu waliowapinga wajerumani waliopigana vita vya majimaji, aliwahi kumuua kiongozi wa kijerumani na yeye alipokamatwa alinyongwa

Kibasila, JUHUDI, NIDHAMU, UMOJA that was our slogan

nimekumbuka mbali KIBASILA HIGH SCHOOL..... daraja lililonifikisha university
 
Mtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
 
kibasila, daah nakumbuka mbali sana mana ni shule yangu ya upili iliyonisaidia kunifanya nifike hapa nilipo, japo si mbali lakini si haba kibongo bongo nimevuta

kiasili Kibasila ni jina la Chifu Digalu Kibasila mmoja wa watu waliowapinga wajerumani waliopigana vita vya majimaji, aliwahi kumuua kiongozi wa kijerumani na yeye alipokamatwa alinyongwa

Kibasila, JUHUDI, NIDHAMU, UMOJA that was our slogan
Umenikumbusha mbali mkuu nami nilisoma kibasila miaka hiyoooooo . Duh ni siku nyingi
 
enzi hizo chakula, bure, chai bure, ada haizidi sh mia tano kwa mwaka! kuna mabasi kama ambianse na mv mapenzi!
Aahh yaani kila kitu bure msosi ulikua wa nguvu ,nakumbuka tulilipa ada sh 750 lol siku hazigandi nauli ya mwanafunzi ilikua sh 1 . Tulinyanyaswa na makonda jamani.
 
Mtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
Mkuu mbona jibu tayari keshajibiwa
 
Mtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.

Umeona ee ..... yaani jamaa wanatiririka tu off-point. Afadhali chamakh kaongea jambo...
 
Last edited by a moderator:
Mie simfahamu huyo Kibasila, kwanza mie mgeni Dar híi, nimeletwa juzi tu hapa na gari la mkaa. Ndo maana unaona nimepiga kimya.
Hahahahahahahaha kuletwa na gari la mkaa hakuzuiii kujua history ya mahala flani. Mbona wengi hatujafika ng'ambo lkn historia ya USA watu kadhaa wanaijua .Sijui sadamu au sijui nani yule n.k
 
Ha ha haaaa.. mji wa watu huu síe wakuja inabidi tutembee kwa step, sio unakuta waliozaliwa Muhimbili vitovu vyao vikafukiwa Kinondoni afu wamekulia Ilala wanaongea stori zao na wewe unaingia kichwakichwa.. inabidi uwe mpole kwanza..
 
Back
Top Bottom