Historia mageuzi Sekta ya Maji yaandikwa Shilati, Rorya

Historia mageuzi Sekta ya Maji yaandikwa Shilati, Rorya

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
HISTORIA MAGEUZI SEKTA YA MAJI YAANDIKWA SHILATI, RORYA

WAZIRI WA MAJI Jumaa Aweso amezindua mradi wa Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Shirati Wilayani Rorya.
Mradi huu ni mafanikio ya kihistoria kwa wananchi wa Shirati ikiwa ni utatuzi wa changamoto kubwa ya Maji iliowakabili kwa muda mrefu sana.

Aidha, Waziri Aweso amemteua CPA.JOYCE MSIRU aliekua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira nchini.
 
Back
Top Bottom