Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
wewe una matatizo.Big up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
Haha.. Kuzidi uliyonayo Mkuu?wewe una matatizo.
[emoji23] [emoji23]wewe una matatizo.
Taarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
me nakaza kamba bana🙄kaza buti kijana
Najitahidi Sanakaza buti kijana
Hii ni taarifa njema sana.Taarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
pouwa pouwame nakaza kamba bana🙄
safiNajitahidi Sana