Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Anajitahidi natumai msimu ujao anaenda EPL
 
alafa wamewakutanisha wenyew kwa wenyew mmoja lazma ang'oke
 
Aje kuzitumia na toto la kichagga sio? Akuze uchumi wetu asijeenda kula na mnigeria au mkongo pesa zikaenda huko.
kabisa awe na akili la sivyo atakuja hapa tumchezeshe simba na yanga kwa mkopo na masimango juu
 
Back
Top Bottom