Historia: Tulipotoka na tulipo
Amin usiamini huo ni mto Msimbazi enzi ya utawala wa Mjerumani-mpaka mashua zilikuwa zinapuyanga kwenye mto
Hapa ni enzi za utawala wa mjerumani
Dar,enzi ya mjerumani.
Railway station hapo.
Mpanda farasi/punda anaelekea Gerezani
Hilo jengo ndio lile linaangaliana na central police. Huyo mpanda farasi anaelekea kule kwenye keep left ya kurasini au kule kwenye njia ya kwenda ofisi za TiGo na majani ya chai.
Wakiwa na tabasamu la furaha ni Bwana Reginald Mengi na Mkewe Mercy Shangali baada ya kufunga ndoa yao mwaka 1971.
Edward Lowasa enzi za uhai wake pichani akiwa na mkewe
Dar enzi ya mjerumani
Sanamu la Bismark,ilikuwa kwenye botanical gardens, mwingereza akaiondoa na ile ya Wissmann pale askari monument, ya Wissmann ilirejeshwa Ujerumani. Kulikuwa na nyingine ya Bismark Tanga mjini.
Dar-Lumumba street
Tanu yajenga nchi
Long time ago
Kariakoo hiyo enzi hizo. Huu ndiyo mtaa unaoingia Sokoni Kariakoo Shimoni. Huu ni mtaa wa Nyamwezi naona upande wa kushoto kuna mkunguni kwa kina marehemu Bwiru Kasembe na huu unakwenda mpaka Uhuru au Kichwele,Ukiangalia vizuri hiyo mishale miwili pembeni, inakuonyesha kingo za kuta za pembeni ambapo hapo magari ya mizigo yalikua yakipita na kushuka chini Shimoni kwa ajili ya kushusha ama kupakia bidhaa. Aliyepita maeneo hayo atakubaliana nami.