Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hahahah halaf uyu kiranga atwambie nini hiki ili nijue huu ugomvi nitumie siraha gan nisije kujikuta napigana na baraka
Wewe si u Google tu!!, utajua maana ya hilo neno.
Hilo ni neno la kilatini na linaandikwa hivyo " non sequitur" na linatamkwa "non sekwita", maana yake ya MSINGI inayotumika SANA ni; jambo,( jibu au habari, taarifa nk) lolote litakaloletwa lisilohusiana na habari kuu husika, mfano mtu akikuuliza swali; wewe una miaka mingapi??hilo swali ndiyo habari kuu, nawe ukamjibu; ninakwenda kula chakula, sasa hilo jibu lako litaitwa "non sequitur" kwasababu halihusiani na swali kabisa"
Au kwa maneno mengine "non sequtuir" inaitwa fallacy au illogical.
Ila mimi nashangaa kuona neno logical l lnawekwa kabla ya hilo neno🤣🤣🤣