Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

kUNA SCAMS NA LEGIT WEBSITES.......90%+ ni scams......ila ukipatia ni biashara nzuri sana...mi nilianza nayo 2017...nimepigwa pigwa lakini nilipoipatia sasa si haba
NB: 1 BITCOIN = 21M kwa leo
 
kUNA SCAMS NA LEGIT WEBSITES.......90%+ ni scams......ila ukipatia ni biashara nzuri sana...mi nilianza nayo 2017...nimepigwa pigwa lakini nilipoipatia sasa si haba
NB: 1 BITCOIN = 21M kwa leo
Shukran mkuu, ila hii nilisha achana nayo
 
Mkuu nataka kununua bitcoin sijui kwa bongo hapa nitapata wapi cash ninayo na vipi nikitaka kuuza pia cash napataje?
 
Mkuu unaweza kutupa ujuzi kidogo wa kufungua account localbitcoin,

CC: CYBERTEQ , LATVIA
 
Mkuu yaani wakati Bitcoin inauzwa hio Bei ulikuwepo .

Kuna vinega humu daily nakwambia nunueni coin muhold ona Sasa Bei ya Bitcoin Leo 2022 ....

Mimi nitajuta Sana kama 2040 nitakuwa maskini wakati fursa ya coin saiz naijua kabisa ....
 
Mkuu nataka kununua bitcoin sijui kwa bongo hapa nitapata wapi cash ninayo na vipi nikitaka kuuza pia cash napataje?
Boss hii ni kama unavyofungua account yako ya facebook au ulivyo jiunga Jf.Ni rahisi sana kama kuhesabu 1, 2,3. Tumia link hii kusajili account yako ndani dakika chache sana na urahisi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…