Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

eToro📊📈

BINARY INVESTMENT PLAN 🟤⚪🟢

BRONZE TRADE PLAN (48 HOUR PLAN)
🟤 $1000 EARN $5,000
🟤 $2000 EARN $10000
🟤 $3000 EARN $15000
🟤 $4000 EARN $20000
🟤 $5000 EARN $25000

SILVER TRADE PLAN(72 HOUR PLAN)
⚪ $1000 EARN $10500
⚪ $2000 EARN $20500
⚪ $3000 EARN $30500
⚪ $4000 EARN $40500
⚪ $5000 EARN $50500

VIP TRADE PLAN
🟢 1BTC EARN 5BTC
🟢 2BTC EARN 10BTC
🟢 3BTC EARN 15BTC
🟢 4BTC EARN 20BTC
🟢 5BTC EARN 25BTC

Nimekutana na hawa watu ambao nahisi ni matapeli, wananishawishi kweli niwekeze, wapo watu wanatia taarifa za ku depost na ku withdraw, nadhani ni kundi moja wanataka kuvutia watu wawapige

Najiuliza ni biashara gani ya kutoa output ya faida kubwa hivyo bila hasara?

Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu hili anisaidie
 
Bitcoin inaweza kugonga dola 100,000 katika miaka 10 ijayo, anasema mchambuzi ambaye kwa usahihi alitafkari bei yake ya dola 2,000.

Van-Petersen anashikilia sauti kwa ujumla - si tu bitcoin - itabidi asilimia 10 ya kiasi cha wastani cha kila siku (ADV) ya biashara ya fedha za 'fiat '(sarafu yoyote inayokosa thamani ya ndani inayotangaza zabuni za kisheria na serikali.) katika miaka 10. ADV ya kigeni ya fedha za kigeni sasa inasimama kwa zaidi ya dola bilioni 5, kulingana na Benki ya Kimataifa ya Makazi.

Asilimia kumi ya dola trillioni 5 ni dola 500,000,000,000. Hii ni ADV ambayo Sarafu za kidigital zinaweza kuwa. Bitcoin itahesabu asilimia 35 ya sehemu hiyo ya soko, ambayo itakuwa dola bilioni 175 ya takwimu ya dola bilioni 500, alisema. Hii inamaanisha kuwa bitcoin ya dola bilioni 175 itakuwa biashara ya kila siku.

Pia, Van-Petersen anaashiria kwamba mtaji wa soko la bitcoin utakuwa mara kumi wastani wa kila siku, kutoa takriban dola 1.75 trilioni kwa kofia ya soko. Takwimu ya sasa ni karibu dola 37.8 bilioni, kwa mujibu wa data kutoka kwenye tovuti ya ya CoinDesk.

Bitcoin ina ugavi mdogo wa milioni 21 ambao unatarajiwa kufikia mwaka wa 2140. Katika miaka 10, mchambuzi anafikiri kuwa kutakuwa na miaba milioni 17 ya mzunguko, kutoka kwa takwimu milioni 16.3 ya sasa.

Ikiwa uwezo wa bitcoins milioni 17 katika usambazaji umegawanywa na makadirio ya soko ya dola milioni 1.75, basi kila bitcoin itakuwa yenye thamani zaidi ya dola 100,000.

Inashauriwa wengi wetu tuanze kutumia, kununua na kuuza bitcoins wakati huu na pia tushikilie baadhi yao katika mkoba wetu.

ikiwa tutaendelea na mwenendo huu, chini ya miaka 5 tunaweza kufikia lengo hilo la dola 100,000

ADV ni uwasilishaji unaohitajika kwenye Tume ya Usalama na Badiliko (SEC - Securities and Exchange Commission), na mshauri wa uwekezaji wa kitaaluma, unaelezea mtindo wa uwekezaji, mali chini ya usimamizi (AUM - Assets Under management), na maafisa muhimu wa kampuni ya ushauri. Fomu ya ADV inapaswa kusasishwa kila mwaka na kufanywa kama rekodi ya umma kwa makampuni, yanayosimamia zaidi ya dola 25,000,000.

Siku Njema!
Hapa tunazungumzia kabla ya 31/12/2028.
Acha tuone,muda utaongea
 
eToro[emoji408][emoji409]

BINARY INVESTMENT PLAN 🟤[emoji836]🟢

BRONZE TRADE PLAN (48 HOUR PLAN)
🟤 $1000 EARN $5,000
🟤 $2000 EARN $10000
🟤 $3000 EARN $15000
🟤 $4000 EARN $20000
🟤 $5000 EARN $25000

SILVER TRADE PLAN(72 HOUR PLAN)
[emoji836] $1000 EARN $10500
[emoji836] $2000 EARN $20500
[emoji836] $3000 EARN $30500
[emoji836] $4000 EARN $40500
[emoji836] $5000 EARN $50500

VIP TRADE PLAN
🟢 1BTC EARN 5BTC
🟢 2BTC EARN 10BTC
🟢 3BTC EARN 15BTC
🟢 4BTC EARN 20BTC
🟢 5BTC EARN 25BTC

Nimekutana na hawa watu ambao nahisi ni matapeli, wananishawishi kweli niwekeze, wapo watu wanatia taarifa za ku depost na ku withdraw, nadhani ni kundi moja wanataka kuvutia watu wawapige

Najiuliza ni biashara gani ya kutoa output ya faida kubwa hivyo bila hasara?

Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu hili anisaidie
Samahani kwa kuchelewa kukujibu,....hao ni matapeli,faida ipo ila sikihivyo aisee
 
Tarehe 20 mwezi huu tunasubiria ya kwetu
Bula shaka ni Pi coins.........tuombe mungu Inshallah kwenye crypto world chochote kinaweza tokea,Solana December 2022 ilikua chini ya $10,2024 imefik zaidi ya $200
 
Hii unajuaje wakati haijazinduliwa?
Bula shaka ni Pi coins.........tuombe mungu Inshallah kwenye crypto world chochote kinaweza tokea,Solana December 2022 ilikua chini ya $10,2024 imefik zaidi ya $200
 
Hii unajuaje wakati haijazinduliwa?
Ipi hiyo ambayo haijazinduliwa?,Solana ipo Live kitambo, Pi bado ila ukiingia coinmarketcap.com unawesa cheki IPO price,inayotegemewa kuanza nayo katika live mode
 
Ipi hiyo ambayo haijazinduliwa?,Solana ipo Live kitambo, Pi bado ila ukiingia coinmarketcap.com unawesa cheki IPO price,inayotegemewa kuanza nayo katika live mode
Pi ndio inazinduliwa tarehe 20
 
Hii kitu Bado ipo au ishakufa kama DECI na kalinda
1.Duuh mkuu wewe utakua haufatilii mambo au ni mtu mjinga sana aisee😃😁😆,
2.Juzi TU Microstrategy ya Michael Saylor wamefikisha Bitcoin zenye thamani ya $Billion 48,
3.Nakushauri tafuta vitabu ama articles zinazohusu Blockchain na Bitcoin,usome,.........better risk than regret
 
Hii kitu Bado ipo au ishakufa kama DECI na kal
1.Duuh mkuu wewe utakua haufatilii mambo au ni mtu mjinga sana aisee😃😁😆,
2.Juzi TU Microstrategy ya Michael Saylor wamefikisha Bitcoin zenye thamani ya $Billion 48,
3.Nakushauri tafuta vitabu ama articles zinazohusu Blockchain na Bitcoin,usome,.........better risk than regret
Huwezi jua kila kitu duniani
 
1.Duuh mkuu wewe utakua haufatilii mambo au ni mtu mjinga sana aisee😃😁😆,
2.Juzi TU Microstrategy ya Michael Saylor wamefikisha Bitcoin zenye thamani ya $Billion 48,
3.Nakushauri tafuta vitabu ama articles zinazohusu Blockchain na Bitcoin,usome,.........better risk than regret
Hii thread ilianzishwa mwaka 2013 wakati Bitcoin ipo sawa na around dola 1000. Ona jinsi mwanzisha threa alivyoelezea huo mwaka 2013
''Mkuu, kuna sehem nyingi za kununua Bitcoins, unaweza kununua kwa kutumia debit card yako, lakini mara nyingi ukitumia credit card au debit card inachukua siku nyingi mpaka uje kupata bitcoins zako, njia rahisi kama unataka kununua ingia localbitcoins.com utakuta wauzaji wengi, bei tofauti na njia mbalimbali za malipo, mimi huwa nalipia kwa westernunion ndani ya dakika 20 muuzaji ananipatia coins zangu. Bei inabadilika siku hadi siku, juzi ilipanda mpaka $1300 kwa BTC moja, leo imesimamia $950 kwa hiyo unaponunua kuwa mwangalifu, nunua siku unapoona imeshuka kama hivi, mimi huwa nanunua wakati wa crisis na kuuza inapopanda''.
 
Back
Top Bottom